📈Last 7 days+41 installs — 15% slower than the week before (+48) · 4/day since Oct 7
🏆Among Tools appstop 20% by installs gained this week (1080 peers growing)
🛠Updatesactively updated · updated 23 days ago · every ~37 days (2 updates tracked)
Installs since launch
+138 installs
since Oct 7
Update history
1.2.0Oct 22, 2026 · seen Oct 31, 2026
Toleo 1.2.0:
• Ukaguzi wa stoo: hesabu bidhaa, linganisha na mfumo, ona tofauti ilitoka wapi, kisha rekebisha.
• Kila badiliko la stoo linahifadhiwa pamoja na jina la aliyelifanya. Historia haifutiki.
• Mwenye duka anaona simu za wafanyakazi zenye mauzo ambayo bado hayajatumwa.
• Mauzo yanatumwa hata ukifunga app (kama simu inaruhusu).
• Marekebisho ya usalama wa data na ubora.
1.1.0Sep 15, 2026 · seen Oct 20, 2026
Toleo 1.1.0
• Uza kwa jumla au rejareja: weka bei ya jumla kwenye bidhaa, chagua wakati wa kuuza.
• Duka na Stoo: jua bidhaa ziko wapi, uza hata kutoka stoo na itarekodiwa.
• Mauzo ya hivi karibuni yanaonyesha majina ya bidhaa.
• Hali ya giza na Kiingereza kwenye skrini zote.
• Maboresho mapya sasa yanakufikia moja kwa moja.
• Marekebisho ya hesabu, usalama na utendaji.
Biashara Kiganjani is a tools app by Professor Apps with 1,000+ downloads (about 1.5K estimated). +41 installs in the last 7 days. Released Jun 4, 2026. Install growth, rank history, SDKs and ad networks.
From the store listing: “Simamia biashara yako kwa urahisi . mauzo, hifadhi, madeni, ripoti na zaidi.”